FILY EMCEE

  • Contact seen
Basic profileother

@filyfilbert on Instagram · last 90 days

  • Followers22.1K
  • Growth—
  • Avg views—
  • Avg engagement2.5K
  • Eng. rate11%
  • Posts / month2.3

Reach out

1 contact options

Audience

Demographics

Not available

Audience location

Audience locations not supplied
—No locations plotted

—Not supplied

Age

—Not supplied

Gender

—Not supplied

    Languages

    —Not supplied

    Interests

    —Not supplied

    Audience data unavailable.

    Engagement signalsView observed post patterns ↓

    @filyfilbertInstagram

    7 of 7 posts carry engagement numbers

    • Engagement for the size11%above typicalHow this is worked out

      Engagement is above what is typical for an account this size on Instagram.

      Average engagement per post
      2.5K
      Followers
      22.1K
      Typical range, low
      1.0%
      Typical range, high
      5.0%

      from 7 postsobserved

      Average likes, comments and shares per post divided by followers, placed against the reference band for this platform and follower size.

    • Followers to following4.8×typicalHow this is worked out

      Followed by 4.8× the accounts it follows, as creator accounts usually are.

      Followers
      22.1K
      Following
      4.6K

      observed

      Followers divided by the accounts this one follows, from the latest observation; under 1 is the unusual shape for a creator.

    • Comments per like—not knownHow this is worked out

      Not enough observed posts to say

      Comments, summed
      885
      Likes, summed
      16.3K

      from 4 postsobserved

      Comments divided by likes, summed across the posts in the period where both were observed.

    • Short-video reach—not knownHow this is worked out

      Not enough observed posts to say

      Average views per short video
      —
      Followers
      22.1K

      observed

      Average views on short videos in the period divided by followers, against the reference band for this platform.

    • Posting rhythmVariation between posts2.3 daystypicalHow this is worked out

      Posting rhythm is typical: gaps vary by about 2.3 days around a 2.7 days average.

      Average gap between posts
      2.7 days
      Spread of the gaps
      2.3 days

      from 7 postsobserved

      The spread (standard deviation) of the gaps between consecutive posts in the period, in days; the band compares that spread with the average gap.

    • Posts with numbers100%typicalHow this is worked out

      Engagement numbers were observed on 7 of 7 posts (100%).

      Posts with an engagement number
      7
      Posts in the period
      7

      from 7 postsobserved

      The share of posts in the period on which at least one engagement number was observed — how much of the record the rows above are reading.

    About these signals

    Six things we can work out from the numbers on file for the last 90 days, each set against a published reference range. A band is a comparison, not a grade: there is no score here, no fake-follower percentage. Audience demographics, when supplied, are shown separately. How the ranges were chosen.

    Formats

    @filyfilbert

    FormatPostsShareAvg viewsEng. rate
    Carousel7100%—11%

    Posts

    6 posts

    @linexsundaymjeda MJEDA WA KWELI WA BONGO FLEVA🫡🫡

LINEX ana kila sababu ya kujiita MJEDA na hapa UJEDA wake haupo kwenye maneno upo kwenye kipaji, uwezo na uzoefu wa kuimba.
Moja kati ya msanii ambaye ukiweka live performance mbele yako, hawezi kukudanganya maana mtu anaweza kuimba kwa sababu ya studio, lakini mzee #Sunday mdondoshe hapo kwenye stage yako atakunyooshea vile vile ulivyosikia kwenye recording hapo ndipo tunaposema hii ni talent iliyokamilika. 

Na safari ya Linex ndani ya muziki ina milestones ambazo si za kupuuzwa kabsaa kufanya collabo mbili na @diamondplatnumz #Nitaifichawapi  #Salima ilikuwa hatua kubwa kwenye career yake si kwa sababu LINEX alikuwa anahitaji Diamond kuthibitisha kipaji chake bali kwa sababu ya kushirikiana na jina kubwa kama #SIMBA kulifungua milango ya exposure, audience na connection kubwa zaidi kwa muziki wake. 

Na hata kwenye upande wa wasanii waliowahi kumzunguka bas MJEDA amekuwa sehemu ya safari ambayo imehusisha majina makubwa kama @officialbabalevo Mbunge wa Kigoma Mjini. Hii inaonyesha tu namna alivyokuwa na nafasi yake kwenye tasnia na kwenye kizazi chake. 

Na kama kuna sehemu ambayo @linexsundaymjeda alionyesha thamani yake kwenye project kubwa basi LEKADUTIGITE ni moja ya mifano Linex alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa na nafasi muhimu kuhakikisha ile project inakwenda vizuri. Hivyo kusema kwamba alikuwa miongoni mwa watu waliotakiwa kunufaika zaidi na matunda ya project ile si kumzidishia sifa ni kutambua mchango wake kwenye safari yake. 
Kwa sababu wakati mwingine kwenye projects kubwa tunawakumbuka zaidi waliokuwa mbele ya kamera lakini nyuma ya mafanikio kuna watu ambao walihakikisha kitu kinafanyika na kinaenda sawa linex alikuwa sehemu ya hao watu.

Linex ni mmoja wa wale wasanii ambao ukiondoa kelele za mitandao ukabaki na muziki wenyewe bado utamkuta amesimama hapo
Kwa kifupi: Talent? IPO. 
Live performance? IPO. 
Experience? IPO. 
Hits? ZIPO. 
Exposure? IPO. 
Legacy? INAENDELEA KUJENGWA👑
Hivyo ukimsikia Linex akijiita MJEDA usione ni kujipa cheo tu
UJEDA WAKE UPO KWENYE MUZIKI.
Respect Kwako Mzee Mjeda🫡🫡
Swipe Hapo nimekuwekea baadhi ya madude yake.Carousel
    @filyfilbert

    @linexsundaymjeda MJEDA WA KWELI WA BONGO FLEVA🫡🫡 LINEX ana kila sababu ya kujiita MJEDA na hapa UJEDA wake haupo kwenye maneno upo kwenye kipaji, uwezo na uzoefu wa kuimba. Moja kati ya msanii ambaye ukiweka live performance mbele yako, hawezi kukudanganya maana mtu anaweza kuimba kwa sababu ya studio, lakini mzee #Sunday mdondoshe hapo kwenye stage yako atakunyooshea vile vile ulivyosikia kwenye recording hapo ndipo tunaposema hii ni talent iliyokamilika. Na safari ya Linex ndani ya muziki ina milestones ambazo si za kupuuzwa kabsaa kufanya collabo mbili na @diamondplatnumz #Nitaifichawapi #Salima ilikuwa hatua kubwa kwenye career yake si kwa sababu LINEX alikuwa anahitaji Diamond kuthibitisha kipaji chake bali kwa sababu ya kushirikiana na jina kubwa kama #SIMBA kulifungua milango ya exposure, audience na connection kubwa zaidi kwa muziki wake. Na hata kwenye upande wa wasanii waliowahi kumzunguka bas MJEDA amekuwa sehemu ya safari ambayo imehusisha majina makubwa kama @officialbabalevo Mbunge wa Kigoma Mjini. Hii inaonyesha tu namna alivyokuwa na nafasi yake kwenye tasnia na kwenye kizazi chake. Na kama kuna sehemu ambayo @linexsundaymjeda alionyesha thamani yake kwenye project kubwa basi LEKADUTIGITE ni moja ya mifano Linex alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa na nafasi muhimu kuhakikisha ile project inakwenda vizuri. Hivyo kusema kwamba alikuwa miongoni mwa watu waliotakiwa kunufaika zaidi na matunda ya project ile si kumzidishia sifa ni kutambua mchango wake kwenye safari yake. Kwa sababu wakati mwingine kwenye projects kubwa tunawakumbuka zaidi waliokuwa mbele ya kamera lakini nyuma ya mafanikio kuna watu ambao walihakikisha kitu kinafanyika na kinaenda sawa linex alikuwa sehemu ya hao watu. Linex ni mmoja wa wale wasanii ambao ukiondoa kelele za mitandao ukabaki na muziki wenyewe bado utamkuta amesimama hapo Kwa kifupi: Talent? IPO. Live performance? IPO. Experience? IPO. Hits? ZIPO. Exposure? IPO. Legacy? INAENDELEA KUJENGWA👑 Hivyo ukimsikia Linex akijiita MJEDA usione ni kujipa cheo tu UJEDA WAKE UPO KWENYE MUZIKI. Respect Kwako Mzee Mjeda🫡🫡 Swipe Hapo nimekuwekea baadhi ya madude yake.

    Views
    —
    Engagement
    5.4K
    MESSI WA BONGO FLEVA ⚽👑
@richmavoko Alikuwa sahihi kabisa kujiita Messi wa Bongo Fleva kwa sababu kuna vitu kwenye muziki havihitaji maelezo mengi vinaonekana tu vyenyewe.
Rich ni miongoni mwa wasanii waliokuja na class yao wenyewe. Ana uwezo wa kuuchanganya muziki, melody, delivery na hisia kwa namna ambayo si rahisi ku-copy na kila generation imekuwa na wasanii wake, lakini Mavoko ameacha alama ambayo bado haijafutika. 

Kitu kikubwa zaidi kwake ni talent ambyo yupo nayo ni msanii ambaye hata akipewa beat ya aina gani anajua namna ya kuifanya iwe yake anaweza kuimba, anaweza kubeba melody, anaweza kufanya collaboration iwe na maana na zaidi ya yote ana voko na style ambayo ukisikia unajua kabisa huyu ni Mavoko kudadadekiii
Wakati mwingine tunasubiri wasanii wafanye comeback ndipo tuwakumbuke lakini ukweli ni kwamba majina kama Rich Mavoko hayahitaji comeback ili kuthibitisha ukubwa wao historia yake kwenye Bongo Fleva tayari inajieleza yenyewe . 

Huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukirudi kwenye archives za Bongo Fleva unaona jinsi alivyokuwa ahead of his timeMavoko ni package kamili.
Leo sio kumzungumzia kwa sababu ya nostalgia tu ila ni kumpa mashavu yake akiwa anastahili. 

Rich Mavoko, Messi wa Bongo Fleva, kipaji cha kipekee na ni moja ya assets ambazo Bongo Fleva iliwahi kuzalisha hapa Tz
Respect kwa legacy @richmavoko🐐👑.
Swipe kutizama baadhi ya kazi zake ambzo nmekuwekea.Carousel
    @filyfilbert

    MESSI WA BONGO FLEVA ⚽👑 @richmavoko Alikuwa sahihi kabisa kujiita Messi wa Bongo Fleva kwa sababu kuna vitu kwenye muziki havihitaji maelezo mengi vinaonekana tu vyenyewe. Rich ni miongoni mwa wasanii waliokuja na class yao wenyewe. Ana uwezo wa kuuchanganya muziki, melody, delivery na hisia kwa namna ambayo si rahisi ku-copy na kila generation imekuwa na wasanii wake, lakini Mavoko ameacha alama ambayo bado haijafutika. Kitu kikubwa zaidi kwake ni talent ambyo yupo nayo ni msanii ambaye hata akipewa beat ya aina gani anajua namna ya kuifanya iwe yake anaweza kuimba, anaweza kubeba melody, anaweza kufanya collaboration iwe na maana na zaidi ya yote ana voko na style ambayo ukisikia unajua kabisa huyu ni Mavoko kudadadekiii Wakati mwingine tunasubiri wasanii wafanye comeback ndipo tuwakumbuke lakini ukweli ni kwamba majina kama Rich Mavoko hayahitaji comeback ili kuthibitisha ukubwa wao historia yake kwenye Bongo Fleva tayari inajieleza yenyewe . Huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukirudi kwenye archives za Bongo Fleva unaona jinsi alivyokuwa ahead of his timeMavoko ni package kamili. Leo sio kumzungumzia kwa sababu ya nostalgia tu ila ni kumpa mashavu yake akiwa anastahili. Rich Mavoko, Messi wa Bongo Fleva, kipaji cha kipekee na ni moja ya assets ambazo Bongo Fleva iliwahi kuzalisha hapa Tz Respect kwa legacy @richmavoko🐐👑. Swipe kutizama baadhi ya kazi zake ambzo nmekuwekea.

    Views
    —
    Engagement
    3.1K
    @iambenpol Ni mmoja wa watu ambao wameacha alama kubwa sana kwenye R&B ya Tanzania si kwa sababu tu ana voko kali, bali kwa sababu ana ule uwezo wa kugeuza hisia kuwa melody, melody kuwa ujumbe, halafu ujumbe ukamfikia mtu moja kwa moja yan ni msanii ambaye ukiangalia safari yake ya muziki pia unaona kabisa talent ile pale, ubunifu na consistency ya kisanii, ameweza kutengeneza nyimbo ambazo zinaweza kukaa kwenye playlist kwa miaka na bado zikawa na maana👏👏🔥

Halafu kuna upande mwingine wa @iambenpol ambao watu wengi huwa hawauzungumzi sana ni uwezo wake mkubwa wa kuingia kwenye collaboration na kuifanya iwe na maana zaidi #BENPAUL si msanii wa kuingia tu kwenye ngoma ya mtu mwingine anapoingia anaongeza kitu kinachofanya hiyo kazi iwe na uzito na ladha ya kipekee.

Tukizungumzia madubwana kama #SIKATITAMAA toka kwa @darassacmg255 na MUZIKI  lazima jina la BENPAUL liingie kwenye story. Hii ni moja ya sifa zinazomfanya awe msanii mwenye thamani kubwa kwenye collaboration ana uwezo wa kuendana na msanii mwingine bila kupoteza identity yake huku akifanya kazi yenyewe iwe kubwa zaidi.

Na ukicheza na code yake vizuri utaona kabisa kwamba si msanii aliyepata kila kitu kwa njia nyepesi alipitia vipindi vigumu kwenye safari yake ya muziki mpaka kutamani kuacha muziki Lakini hapo ndipo tunapoona tofauti kati ya msanii mwenye jina na msanii mwenye moyo wa kupigania kipaji chake.

Akarudi na #SOPHIA ngoma ambayo haikuwa tu release nyingine kwenye catalogue yake bali ikawa kama sehemu ya safari yake ya kujirudisha kwenye mstari na akaamua kuipa nguvu kwa kuifanyia tour ya shows akianzia Dodoma SOPHIA NIGHT

B/S kwa watu ambao walimpa tag @Bdozen @gnakowarawara @johmakini na wengineo na tuliona alizunguka na kuendelea kuisogeza kazi mpaka akaanza tena kuonekana kwenye mstari ambao wengi walikuwa wanamjua.

Big up sana KING BEN PAUL👑  kwa ukomavu, uvumilivu na namna ambavyo umeendelea kuacha alama kwenye Bongo Fleva🙌🏾.

Swipe 👉🏾 hapo chini nimekuwekea baadhi ya midundo iliyobeba historia ya safari ya KING BEN PAUL✊️🏆.Carousel
    @filyfilbert

    @iambenpol Ni mmoja wa watu ambao wameacha alama kubwa sana kwenye R&B ya Tanzania si kwa sababu tu ana voko kali, bali kwa sababu ana ule uwezo wa kugeuza hisia kuwa melody, melody kuwa ujumbe, halafu ujumbe ukamfikia mtu moja kwa moja yan ni msanii ambaye ukiangalia safari yake ya muziki pia unaona kabisa talent ile pale, ubunifu na consistency ya kisanii, ameweza kutengeneza nyimbo ambazo zinaweza kukaa kwenye playlist kwa miaka na bado zikawa na maana👏👏🔥 Halafu kuna upande mwingine wa @iambenpol ambao watu wengi huwa hawauzungumzi sana ni uwezo wake mkubwa wa kuingia kwenye collaboration na kuifanya iwe na maana zaidi #BENPAUL si msanii wa kuingia tu kwenye ngoma ya mtu mwingine anapoingia anaongeza kitu kinachofanya hiyo kazi iwe na uzito na ladha ya kipekee. Tukizungumzia madubwana kama #SIKATITAMAA toka kwa @darassacmg255 na MUZIKI lazima jina la BENPAUL liingie kwenye story. Hii ni moja ya sifa zinazomfanya awe msanii mwenye thamani kubwa kwenye collaboration ana uwezo wa kuendana na msanii mwingine bila kupoteza identity yake huku akifanya kazi yenyewe iwe kubwa zaidi. Na ukicheza na code yake vizuri utaona kabisa kwamba si msanii aliyepata kila kitu kwa njia nyepesi alipitia vipindi vigumu kwenye safari yake ya muziki mpaka kutamani kuacha muziki Lakini hapo ndipo tunapoona tofauti kati ya msanii mwenye jina na msanii mwenye moyo wa kupigania kipaji chake. Akarudi na #SOPHIA ngoma ambayo haikuwa tu release nyingine kwenye catalogue yake bali ikawa kama sehemu ya safari yake ya kujirudisha kwenye mstari na akaamua kuipa nguvu kwa kuifanyia tour ya shows akianzia Dodoma SOPHIA NIGHT B/S kwa watu ambao walimpa tag @Bdozen @gnakowarawara @johmakini na wengineo na tuliona alizunguka na kuendelea kuisogeza kazi mpaka akaanza tena kuonekana kwenye mstari ambao wengi walikuwa wanamjua. Big up sana KING BEN PAUL👑 kwa ukomavu, uvumilivu na namna ambavyo umeendelea kuacha alama kwenye Bongo Fleva🙌🏾. Swipe 👉🏾 hapo chini nimekuwekea baadhi ya midundo iliyobeba historia ya safari ya KING BEN PAUL✊️🏆.

    Views
    —
    Engagement
    5.2K
    BARACKA THE PRINCE— HII NI HISTORIA, SIO PLAYLIST TU 🔥👑
Nimeweka hapa baadhi ya ngoma za @barakahtheprince_ kama reminder kwamba huyu jamaa ni mmoja kati ya vipaji ambavyo kiwanda cha Bongo Fleva kimewahi kubarikiwa navyo.
Kuna wasanii unawasikiliza kwa sababu tu ya vibe lakini kuna wengine ukianza kusikiliza kazi zao unakumbushwa kwanini muziki uliwahi kuwa na uzito wake Baracka ni mmoja wao. 

@barakahtheprince_ ni kati ya wale wasanii ambao ukiondoa jina lake kwenye wimbo bado utajua huyu ni yeye hiyo ndiyo identity ya msanii wa kweli kuna sauti, kuna namna ya ku-deliver, kuna namna ya kutengeneza melody na kuna namna ya kugusa hisia za msikilizaji ambayo haiwezi kufanana kirahisi. 

Bongo Fleva imepita kwenye vipindi vingi imebadilika kizazi, imebadilika trends, lakini baadhi ya kazi zikikaa kwenye archive hazizeeki kwa sababu zilifanywa kwa kiwango ambacho kinazivusha kutoka kwenye ngoma ya wakati fulani kwenda kwenye ngoma ya historia na ukizungumzia hilo @barakahtheprince_ anastahili heshima yake. 

Kuna wasanii wanakuwa wakubwa kwa sababu ya hit moja, wengine wanakuwa wakubwa kwa sababu ya trend, lakini kuna wengine wanabaki kwenye heshima kwa sababu catalogue yao inaongea kwa niaba yao na Baracka Da Prince tunamuweka hapo ni kati ya wasanii ambao binafsi naamini tunapaswa kuwapa hesima yao wakiwa bado kwenye safari
Kwa sababu ukweli unabaki pale pale…
Bongo Fleva imebarikiwa sana na @barakahtheprince_ ni sehemu ya hiyo baraka. 

Hizi ngoma nmeziweka hapa usikimbilie kuziskip sikiliza, kumbuka, halafu jiulize Kumbe huyu jamaa alikuwa anafanya hivi kipindi kile?”🔥
Respect kwa talent.
Respect kwa @barakahtheprince_🫡🫡👑.Carousel
    @filyfilbert

    BARACKA THE PRINCE— HII NI HISTORIA, SIO PLAYLIST TU 🔥👑 Nimeweka hapa baadhi ya ngoma za @barakahtheprince_ kama reminder kwamba huyu jamaa ni mmoja kati ya vipaji ambavyo kiwanda cha Bongo Fleva kimewahi kubarikiwa navyo. Kuna wasanii unawasikiliza kwa sababu tu ya vibe lakini kuna wengine ukianza kusikiliza kazi zao unakumbushwa kwanini muziki uliwahi kuwa na uzito wake Baracka ni mmoja wao. @barakahtheprince_ ni kati ya wale wasanii ambao ukiondoa jina lake kwenye wimbo bado utajua huyu ni yeye hiyo ndiyo identity ya msanii wa kweli kuna sauti, kuna namna ya ku-deliver, kuna namna ya kutengeneza melody na kuna namna ya kugusa hisia za msikilizaji ambayo haiwezi kufanana kirahisi. Bongo Fleva imepita kwenye vipindi vingi imebadilika kizazi, imebadilika trends, lakini baadhi ya kazi zikikaa kwenye archive hazizeeki kwa sababu zilifanywa kwa kiwango ambacho kinazivusha kutoka kwenye ngoma ya wakati fulani kwenda kwenye ngoma ya historia na ukizungumzia hilo @barakahtheprince_ anastahili heshima yake. Kuna wasanii wanakuwa wakubwa kwa sababu ya hit moja, wengine wanakuwa wakubwa kwa sababu ya trend, lakini kuna wengine wanabaki kwenye heshima kwa sababu catalogue yao inaongea kwa niaba yao na Baracka Da Prince tunamuweka hapo ni kati ya wasanii ambao binafsi naamini tunapaswa kuwapa hesima yao wakiwa bado kwenye safari Kwa sababu ukweli unabaki pale pale… Bongo Fleva imebarikiwa sana na @barakahtheprince_ ni sehemu ya hiyo baraka. Hizi ngoma nmeziweka hapa usikimbilie kuziskip sikiliza, kumbuka, halafu jiulize Kumbe huyu jamaa alikuwa anafanya hivi kipindi kile?”🔥 Respect kwa talent. Respect kwa @barakahtheprince_🫡🫡👑.

    Views
    —
    Engagement
    3.4K

    Price

    Price

    —

    Pricing unavailable.

    History

    @filyfilbert

    1. 22,066